VITU VINAVYOATHIRI MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU
1. Uvutaji Wa sigara 2. Ulevi 3. Unene kupita kiasi 4. Ukosefu Wa mazoezi 5. Uhaba Wa virutubisho kama madini ya zinc na calcium 6. Msongo Wa mawazo 7.Vyakula Vya mafuta na kemikali mbalimbali kama pizza,soda,keki,n.k Madhara ya vitu vinavyoathiri mzunguko wa damu Shida kubwa inayotokea ni Kuziba kwa mishipa ya damu ambapo husababisha yafuatayo 1. Mgonjwa ya Moyo(Coronary heart diseases) kama Moyo kuwa mpana,kwenda mbio,kifua kubana,Maumivu makali ya kifua( angina).presha ya kupanda na kushuka,stroke( kiharusi). Mengine ni Miguu Kuwaka moto,Maumivu ya viungo,misuli kukaza,macho kupata shida,Maumivu wakati wa Hedhi,n.k KAZI ZA universal 1.KURUDISHA NA KUUFANYA MZUNGUKO WA DAMU UFANYE KAZI YAKE VIZURI 2. KUFIKISHA DAMU NA VIRUTUBISHO SEHEMU HUSIKA 3. KUONDOA TAKA NA SUMU MWILINI. Sasa wakati universal inafanya hizo kazi hapo juu itasaidia kutibu yafuatayo. 1.Maumivu ya Miguu Kuwaka moto 2. Kuwezesha kumbukumbu 3. Kuwezesha masikio kufanya kazi vizuri( huondoa milio maskioni)-ringing 4.Ma...

Comments
Post a Comment