VITU VINAVYOATHIRI MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU

Shinikizo la Damu la Juu Wakati wa Mimba

1. Uvutaji Wa sigara

2. Ulevi

3. Unene kupita kiasi

4. Ukosefu Wa mazoezi

5. Uhaba Wa virutubisho kama madini ya zinc na calcium

6. Msongo Wa mawazo

7.Vyakula Vya mafuta na kemikali mbalimbali kama pizza,soda,keki,n.k


Madhara ya vitu vinavyoathiri mzunguko wa damu


Shida kubwa inayotokea ni Kuziba kwa mishipa ya damu ambapo husababisha yafuatayo


1. Mgonjwa ya Moyo(Coronary heart diseases) kama Moyo kuwa mpana,kwenda mbio,kifua kubana,Maumivu makali ya kifua( angina).presha ya kupanda na kushuka,stroke( kiharusi).


Mengine ni Miguu Kuwaka moto,Maumivu ya viungo,misuli kukaza,macho kupata shida,Maumivu wakati wa Hedhi,n.k


KAZI ZA universal


1.KURUDISHA NA KUUFANYA MZUNGUKO WA DAMU UFANYE KAZI YAKE VIZURI


2. KUFIKISHA DAMU NA VIRUTUBISHO SEHEMU HUSIKA


3. KUONDOA TAKA NA SUMU MWILINI.


Sasa wakati universal inafanya hizo kazi hapo juu itasaidia kutibu yafuatayo.


1.Maumivu ya Miguu Kuwaka moto

2. Kuwezesha kumbukumbu

3. Kuwezesha masikio kufanya kazi vizuri( huondoa milio maskioni)-ringing

4.Maumivu ya viungo

5.kuondoa shida ya maji kujaa mwilini(edema)

6.Huondoa aleji

7.Husaidia kupunguza sukari kwa watu wenye Kisukari

8.Kumfanya mtu kuwa mwepesi

9.Kukinga na stroke ( kiharusi)

10.kutanua mishipa ya damu

11.Kuondoa matatizo ya Maumivu ya kifua( angina) na kubana kwa kifua

12. Kuondoa tatizo la kukosa usingizi

13. Kurekebisha tatizo la kihisia

14. Kuweka presha kuwa sawa

15.Kuzuia shambulio la moyo ( heart attack).

16.Kutibu Maumivu ya mgongo

17.Kutibu maradhi ya ini,figo,na mapafu

18. Kuondoa seli zilizokufa mwilini

19.Kuwasaidia watu wenye pumu(asthma) na TB

20.Kuondoa msongo wa mawazo

21.Kuondoa mafuta mabaya mwilili( bad cholesterol).

22.Kuwezesha damu kupita kwenye mishipa midogo sana

23.Inaondoa kuganda kwa damu kwenye mishipa (blood clot)

24. Inaondoa Uvimbe

25. Inasaidia mwili kujiponya wenyewe( self healing mechanism of the body).

26.Inaondoa tatizo la usahaulifu

27.Inaondoa Ganzi mwilini

28.Inaondoa kupooza kwa mwili

29.Inaondoa tatizo la ugumba kwa jinsia zote

Image may contain: outdoor

Note:

Hapa ni kwa wale ambao mzunguko wa damu hauko sawa kwenye mfumo wa Uzazi kwa wanawake na wanaume.

Pia kuwezesha Afya ya Tezi ya wanaume( Tezi dume na homoni ya testosteroni?)


30. Inawezesha kupona haraka watu waliovunjika mifupa

31. Inasaidia kuilinda mishipa ya damu na misuli ya Moyo( cardiac muscles).

32.Inasaidia Kutibu matatizo ya ngozi

33. Inaufanya mwili kuchangamka na kujisikia unanguvu sana.

34 inaponya Vidonda kwa haraka sana.

Image may contain: outdoor

Hizi ni baadhi ya kazi za universal ( INJINI YA MOYO).


MATUMIZI

vijiko vikubwa vya chakula

3×2. Kabla au baada ya kula


Mama mjamzito na anaye nyonyesha hatakiwi kutumia.

Wenye Vidonda Vya tumbo hawaruhusiwi kutumia

Comments

Popular posts from this blog

Lemonade Braids 2021: Beautiful Styles to Make Your Face Glow